Catherine Kamau -Karanja ni muigizaji na mtangazaji kutoka Kenya, Catherine alikuwa nominated na pia kushinda kama stylish female personality of the year katika Swahili Fashion Week ambayo ilifanyika tarehe 30, Nairobi Kenya.
Catherine stepped on swahili fashion week red carpet akiwa amevalia white gown detailed with feathers and silver embellishments, she looked fierce, gauni lilikuwa linaongea kila kitu alicho fanya ni kuwa minimum na accessories ambapo alivaa dropped earrings akamaliza na simple makeup na up hair do.
Well this is what we call mpanio, wakati sisi tukiwa tunaichukulia hii event kawaida wenzetu wametuonyesha how it’s done, bado tunasubiri kuona picha za wengine lakini kwa hii moja tulioiona tunaweza kusema tume take notes na somo limekolea Swahili Fashion Week ya mwaka huu Nchini this is what we would like to see kwa wale ambao mpo nominated kuchukua Tuzo.
Gown : @stylebyneomi
Makeup : @phoinabeauty
Hair styling : @corrinemuthoni
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/take-notes-on-how-to-slay-swahili-fashion-week-red-carpet-from-catherine-kamau/ […]
smooth jazz
smooth jazz
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/take-notes-on-how-to-slay-swahili-fashion-week-red-carpet-from-catherine-kamau/ […]