SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tanasha Donna Maternity Photoshoot
Mitindo

Tanasha Donna Maternity Photoshoot 

Tanasha Donna ni mwanamuziki, Radio Presenter na Video Vixen kutoka Kenya ambae kwa sasa ni mpenzi wa mwanamuziki maarufu Nchini, bwana Naseeb Abdul A.K.A Diamond Platnumz.

Tanasha na Diamod wanatarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja hivi karibuni, Tanasha ametoa picha za ujauzito wake ( Maternity photoshoot) ambapo amekuwa styled na stylist Noel Ndale.

Tanasha looked gorgeous in this photoshoot, ujauzito umempenda she is has the brown skin girl glow that beyonce is talking about. Makeup yake imekaa vyema she just nailed the shoot.

Tatizo limekuja pale ambapo ilikugundulika wameiba au ku-copy idea kwa mtu mwingine. Okay okay tunajua mtasema hakuna jipya chini ya jua lakini bado tunashikiria kusema tuwe creative kidogo, tusumbue akili.

Kuwa inspired kupo na kuwa creative kupo, huwezi kuchukua kazi ya mtu mwingine nzima nzima ukajiita stylist, yes Noel alihitaji kumshauri mteja wake na kwakua jina lake lipo kwenye line alitakuwa kumuomwambia mteja wabadilishe kidogo sio kuhamisha kazi ya mtu mwingine kama ilivyo na kusema umemstyle mteja wako.

Tanasha alitakiwa ajue kwamba jicho la wa-Tanzania na wa Kenya wanamuangalia yeye pamoja na mpenziwe, ingeleta maana zaidi kama angetoka tofauti kidogo, na tumeshazoea kuona ana copy kwa watu wengine so this is not surprising. Matumaini yetu ni kwamba hili halitojirudia tuchangamshe akili.

Related posts

1 Comment

  1. magic mushrooms blue meanies

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-maternity-photoshoot/ […]

Comments are closed.