SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tanasha Donna On True Love Magazine Cover
Mitindo

Tanasha Donna On True Love Magazine Cover 

Tanasha Donna ni mwanamitindo, mwanamuziki, na ni radio presenter kwa sasa Tanasha ana miaka 25 na ni mama wa mtoto mmoja kutoka kwa mwanamuziki Naseeb Abdul ( Diamond Platnumz). Tanasha ametokea katika cover ya gazeti la True Love Magazine East Africa ambapo ameongela kuhusu uhusiano wake na Diamond Platnumz lakini pia maisha pamoja na ulezi.

Well kwetu tumeangalia zaidi kuhusu mitindo yake katika gazeti hilo, seems like Tanasha amepata mtu wa kumpa a look she deserve kwenye hii magazine tumependa looks zake wamepa fresh mature looks.

Cover look ilikuwa satin red dress, ambapo waliongezea statement earrings , rings na bracelets ambacho tumependa ni color mixing ya kucha, hereni na makeup imefanya huu muonekano unoge zaidi.

Baadhi ya looks zilizopo kwenye gazeti hilo ni pamoja na hii red embellished blazer dress, kutoka kwa Ogeke Mosomi.

Look nyingine ambayo tumeiona kutoka kwake ni hii green button down dress ambayo ina mkanda, hii ni simple dress ambayo yoyote anaweza kuvaa ambacho kimefanya muonekano huu u-stand out na kuwa more of magazine worthy look ni statement accessories walizo ziongezea ambazo no maasai beads necklace pamoja na pom pom earrings and makeup on point.


PHOTOGRAPHY: MARCEL MURUKA @l.eafar
STYLING : JUDY ROSE @nyandisa_styling
MAKE-UP : DENIS KARURI @_denniskaruri
HAIR : IBRAHIM LOBO @ibrahimos_hair of Posh Palace Hair Studio &Spa @poshpalacekenya
SHOT ON LOCATION: Ibis Styles Kenya

Kamaungependa kusoma zaidi ni nini ameongelea humu ndani ingia hapa https://www.afrilyfe.com/

Related posts

9 Comments

 1. Pineapple Pound Cake 3.5g Flower

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 2. weed delivery mississauga

  … [Trackback]

  […] Here you can find 48726 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 3. 코인커뮤니티

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 4. 뉴토끼

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 5. mushroom shop Portland

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 6. paito singapore

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 7. continue reading this

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 8. Mushrooms

  … [Trackback]

  […] There you will find 49311 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

 9. Relx

  … [Trackback]

  […] There you can find 14011 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanasha-donna-on-true-love-magazine-cover/ […]

Comments are closed.