Tunadhani muda umefika wa kuongelea kuhusu fashion influencers kutoka Tanzania, kuona kwamba watu maarufu wanajaribu kufanya vitu tofauti katika nyanja za mitindo its real is a relief kuona tunaelekea pazuri, kwa sasa tunaona ukuaji katika fashion influencers watu mbalimbali maarufu na wa ambao wapenzi wa fashion wana tupa daily dose on their daily fashion looks and oh boy we love what we see.
Kwa wale ambao mnajiuliza a fashion influencer ni nani? Ni mtu ambae yeye anakuwa ana post kuhusu fashion iwe inahusu mavazi ya designers, wapi unaweza kununua mavazi, attending fashion parties na kuvaa mavazi na kupost on social network.
Kwa hapa kwetu wengi hawajafikia kwenye ku attend fashion parties, kuvaa mavazi ya designer wakubwa lakini wengi ni wale wapenzi wa kuvaa na ku-post on social network na kwa sasa wapo wengi mno matumaini yetu watafika wanapopataka lakini kabla hatujafika huko let fix this few things ambazo tumeona wanakosea.
- Muda
Well hili ni tatizo kubwa ambalo tumeliona kwa fashion influencers wa kwetu, unaweza kukuta wamevaa wamependeza sana sana sana, but a sis is night outfit mchana okay sister where are you going with a night outfit mchana? don’t make it obvious kwamba umepiga picha kutangaza tundanganye basi hata uivae ukiwa unatoka usiku, well lakini pia kuwa influencer inamaanisha unajua kuhusu fashion unajua nini kivaliwe wapi, na kuwapa ideas watu namna ya kukivaa sasa ukiwa unafanya vitu vice versa unafanya watu wajiulize kweli a sister anajua anacho kifanya?
kujifunza being a influencer sio tu ku-put on a cute outfit and capture it but its about understanding about fashion and giving ideas to other people
- Venue
Hatuna tatizo na wao kupiga picha sehemu moja ila tunatatizo la wao kuvaa mavazi ambayo yana paswa kuvaliwa sehemu nyingine wamevaa sehemu nyingine, okay love your all dress up took a picture and post it, lakini hili vazi ambalo umepost linaonekana labda la dinner date au night outfit wewe umepigia picha mchana nyumbani kwenye ngazi na hutuambii chochote zaidi ya wapi tunaweza kupata hilo vazi,
ukiwa unajua perfect well sisi wa Tanzania uelewa wetu mdogo katika swala hili what if mtu akinunua halafu avae mchana wa jua kali akachekwa? please lets be real on venue’s kama umevaa vazi linafaa kwa sehemu fulani utuambie au make it real kwa kupiga picha on that venue how hard could that be?
- Kuwa tofauti
Umepewa na kulipwa uvae vazi kulitangaza right? give us something new tuonyeshe namna ambavyo tunaweza kuli-style kwenye events tofauti na kulivaa mara nyingi tuwezavyo kama kuna kitu ambacho kinaudhi ni kukuta a fashion influencer kavaa vazi kama ambavyo lilivyo.
Halija ongezewa accessories halija wekwa chachu au chochote boo boo unatofauti gani na mdoll wa dukani sasa? give us something different ambacho tunaweza kusema okay kumbe kama sipendi kuvaa hivi naweza kuvaa hivi, kumbe naweza kulivaa mchana na usiku pia?
tunahitaji ku-consider kila kitu kujifunza kwenye ku-style mavazi, kujua muda, venue na namna ya kuliweka kuwa tofauti tunadhani tukiweza kufanya vitu hivi vitatu tunaweza kufikia kupewa kazi na brand kubwa,ni hayo tu kwa leo katika hot seat tuambie kitu gani kingine huwa kinakukera na ungependa fashion influencers wetu wakibadilishe?
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzania-fashion-influencers-are-you-for-real/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 81630 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzania-fashion-influencers-are-you-for-real/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzania-fashion-influencers-are-you-for-real/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzania-fashion-influencers-are-you-for-real/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzania-fashion-influencers-are-you-for-real/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzania-fashion-influencers-are-you-for-real/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzania-fashion-influencers-are-you-for-real/ […]