SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tanzanian Men Came Through With The Slayage
Mitindo

Tanzanian Men Came Through With The Slayage 

Ni jumatatu nyingine tena ambayo huwa tunawaletea weekly highlights za nani amevaa nini na je amependeza au lah, na leo tunawaletea men version as wengi huwa mnalalamika hatuweki sana habari za wanaume, well tunaweza kusema tumeona slayage ya hatari kutoka kwa watu maarufu wa kiume kutoka Tanzania, female celebrities must take notes

Juma Jux came through with all black attire, amemaliza muonekano wake na layered necklace’s, saa, kofia na miwani, this outfit is casual and stylish, unaweza kuona efforts za yeye ku-upgrade muonekano wake usiwe boring.

Mcheza kikapu Hasheem yeye alisheherekea kuzaliwa kwake akiwa amevalia hii dark blue suit, ambayo alivalia black t-shirt kwa ndani na akamaliza na white kicks huku akiwa amebeba side bag na scarf, well we love this look on him.

Mbunifu Martin Kadinda yeye alivaa stripes shirt ambayo imetoka kwenye collection yake mpya, amemalizia na suruali nyeusi na viatu vya burgundy vinavyo match na moja ya rangi iliyopo katika shirt lake.

Rapper Darassa yeye amevaa hii suti ya gray, akiwa amemalizia na polkadot red tie moccasin nyeusi na miwani, Darassa like never before.

Well Afro mates look ipi kati ya hizi ambazo umeipenda?

Related posts

5 Comments

  1. lsd blotter paper names,

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanian-men-came-through-with-the-slayage/ […]

  2. Where to find DMT in Melbourne

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanian-men-came-through-with-the-slayage/ […]

  3. qsymia and topamax for weight loss​

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanian-men-came-through-with-the-slayage/ […]

  4. Noord-Brabant Limburg Zeeland Online medicatie kopen zonder recept bij beste Benu apotheek alternatief

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanian-men-came-through-with-the-slayage/ […]

  5. useful content

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanian-men-came-through-with-the-slayage/ […]

Comments are closed.