SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tanzanite Womens Forum & Lunch 2019
Mitindo

Tanzanite Womens Forum & Lunch 2019 

Tanzanite Womens Forum & Lunch imefanyika jumamosi ya tarehe 9, ambapo watu maaarufu mbalimbali walihudhuria event hii, na sisi tulichukua kalamu yetu kuandikia nini una paswa kuvaa katika event hii, na leo tupo hapa kuwaletea report nini kilitokea na nani aliitendea haki blue carpet ya  Tanzanite Womens Forum & Lunch

Pata Kujua Kuhusu Tanzanite Womens Forum & Lunch Na Nini Cha Kuvaa

Tuanze na Blue Carpet, wageni waalikwa wengi walijitahidi wamevaa kuendana na event lakini pia theme ya rangi ilizingatiwa

Upendo Shuma A.K.A Lavie makeup yeye ali-attend event hii in off the shoulder blush pink suit, tumependa namna coat ya suit hii imeonyesha curves zake ( a sexyie suit) akamalizia na nude pumps, bob cut hair style na simple makeup, she looked like a boss.

Fashion Influencer & Entrepreneur Juddy Fashion yeye alivaa, white palazzo na white blouse na statement green and white stripes coat, akiwa amemalizia na clear heels, we loved that aliamua ku rock her natural hair akamaliza na bold red lipstick.

Model & Now an Entrepreneur Gyver Meena yeye alihudhuria event hii akiwa in this stylish little black dress, iliyo mkaa vizuri kabisa, sleek side hair style akamaliza na white embellished pumps, if this is not a version of miss independent we dont know what is.

Wakati Jacqueline Mengi na Faraja Nyalandu walitu serve best friend goals in yellow and black outfis.

Nini kilitokea? Kama ambavyo tulifanya interview na Mbunifu Khadija Mwanamboka, kulikuwa na fashion show, muziki lakini pia kulikuwa na elimu ya  finance savings, self branding na femenism,

Tulichopenda katika event hii ni

  • kukusanyaji fedha kwa ajili ya kusaidia wanawake wa JUWADA kusoma ujuzi mbalimbali
  • Kutolewa kwa elimu kuhusu finance savings, self branding na femenism, kusikia namna ambavyo wanawake wengine wameweza kuthubutu na kufika walipo fika
  • kuwapa wabunifu wachanga na wa zamani nafasi ya kushow case kazi zao, as we all know majukwaa ya mitindo ni machache Tanzania event kama hizi zikitokea na kutoa opportunity hizi ni kitu kizuri.
  • Kumrudisha mwanamitindo mkongwe Miriam Odemba na kuwaonyesha wanamitindo wadogo how to own the runway, tunajua wanamitindo wengi Tanzania bado hawana kiwango kikubwa cha cat walk, we have to say Miriam didn’t play on that stage, she slayed.
  • Lakini pia kuwapa nafasi wanamitindo wadogo kuonyesha uwezo wao jukwaani.

Few Pieces ambazo zilikuwa showcased siku hio

Hii gauni ilibuniwa na mbunifu kutoka uturuki Fouad Sarkis Official, Wakati the beaded necklace inatoka kwa wabunifu Nyumbani Dadaz Arusha, ambayo ilifanyiwa mnada na kununuliwa papo hapo

Gauni hii ni kutoka kwa mbunifu wa hapa hapa Tanzania Kattycollection, na feather necklace ni kutoka kwa Uhuru Wings, necklace hii ilipigwa mnada na kununuliwa papo hapo kwa shilingi  2,100,000/-

Wabunifu wengine walionyesha collection zao ni pamoja na

Malika Designer piece

Irada Styles Number

Asya Khamsin

 

zaidi_africa

Na wengine wengi kwa kifupi the event was educational, fashionable & enjoyable.

Related posts

4 Comments

  1. psychedelic mushroom chocolate bars legal in los angeles ca

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanite-womens-forum-lunch-2019/ […]

  2. drug test for molly,

    … [Trackback]

    […] There you will find 36054 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanite-womens-forum-lunch-2019/ […]

  3. testing automation framework

    … [Trackback]

    […] There you can find 87569 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanite-womens-forum-lunch-2019/ […]

  4. Weed for sale online

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tanzanite-womens-forum-lunch-2019/ […]

Comments are closed.