SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tatizo Si Mwili Wako Bali Ni Fikra Zako Juu Ya Mwili Wako
Mitindo

Tatizo Si Mwili Wako Bali Ni Fikra Zako Juu Ya Mwili Wako 

Niliiona hii post ya haya maneno kutoka kwa moja ya my favorite youtuber & Stylist Lauren Mesiah ambapo alisema “The Problem Is Not Your Body But How You Think Of It”, hii post iliniingia na nikasema siku moja nitaandikia kuhusu hili swala sababu lipo kwa watu wengi mno.

Mara nyingi tunapo-post kuhusu mavazi au mishono katika mitandao ya kijamii, baadhi ya watu husema “siwezi kuvaa hivyo sina mguu”, “na hili tumbo nitapeleka wapi?” Mara mikono yangu minene etc etc.

Hii mindset inaturudisha nyuma sana na ndio maana wengi hatuthubutu kufanya vitu kwa sababu ya kufikiri hiko kitu hakiwezekani, lakini kumbe tatizo halipo kwenye mwili wako ila ni mindset yako na hapa hatumaanishi mtu kama Ben Pol aingie kwenye suit ya Lemutuz hapana tunachosema you can modify it and make it fit your body type.

Kuna msemo ambao niliusikia na kuupenda pia unasema “Mungu ameshamaliza kazi yake hapo” Ni kweli Mungu ameshamaliza kuumba sasa ukisema siwezi kuvaa hivi ninatumbo, siwezi kuvaa hizi sina mguu labda tukuulize “Unadhani lini utapata mguu wa kuvalia hilovazi?” mara nyingi huwa tunashauri watu kupitia dm hasa wale wanaolalamikia maumbo yao kuwa na confidence na maumbo yao. Na kujaribu kufanya mavazi yawafit kutokana na maumbo yao.

Confidence & loving yourself is the key.

Related posts

5 Comments

  1. Recommended Site

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tatizo-si-mwili-wako-bali-ni-fikra-zako-juu-ya-mwili-wako/ […]

  2. bbw lightskin

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tatizo-si-mwili-wako-bali-ni-fikra-zako-juu-ya-mwili-wako/ […]

  3. Discover More

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tatizo-si-mwili-wako-bali-ni-fikra-zako-juu-ya-mwili-wako/ […]

  4. turkey tail mushroom price

    … [Trackback]

    […] There you will find 50363 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tatizo-si-mwili-wako-bali-ni-fikra-zako-juu-ya-mwili-wako/ […]

  5. Mushroom Golden Teacher

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tatizo-si-mwili-wako-bali-ni-fikra-zako-juu-ya-mwili-wako/ […]

Comments are closed.