SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TAUSI LIKOKOLA NI MAANA TOSHA YA SUPPORT CHA NYUMBANI
I'm A Celebrity

TAUSI LIKOKOLA NI MAANA TOSHA YA SUPPORT CHA NYUMBANI 

Tausi Likokola ni International Model lakini anae tokea hapa hapa kwetu Tanzania, Tausi amesha wahi kufanya kazi na wabunifu wakubwa kama Gucci, Escada, Tommy Hilfiger, Christian Dior, Issey Miyake na wengine wengi, ukiachana na uana mitindo Tausi ana NGO yake Tausi AIDS Fund, ambayo ina supports prevention and awareness programs against HIV/AIDS, Lakini pia Tausi ni mjasiriamali ana kampuni yake ya nywele inayoitwa

Tausi Dream na pia ana manukato yake

Tausi tuna weza kusema ni fahari ya Tanzania, tumekuwa tukipiga kelele kwa muda mrefu kwamba watu maarufu wengi hawa support vya nyumbani lakini kwa Tausi ni tofauti kabisa tuna weza kusema asilimia nyingi ya mavazi yake yanatoka kwa wabunifu kutoka Tanzania na una weza kuwa surprised au kukataa kwamba haya mavazi haya buniwa hapa Tanzania akiyavaa lakini ukweli ni kwamba yana toka hapa hapa bongo na kwa wabunifu hawa hawa tunao wajua na wengine kuwa dharau

Tausi akiwa amevalia mavazi kutoka kwa mbunifu Samuel Zebedayo, una weza kuamini how she pull them off ni kama kanunua mbele

 

Tausi akiwa amevalia gauni kutoka kwa Kiki Fashion una weza kuona kwamba wabunifu wetu wana fanya kazi ila ni sisi kutokuwa na moyo wa kuwaungisha

Tausi akiwa amevalia gauni kutoka kwa Ally Rehmtullah na chini akiwa ame beba bag kutoka kwa mbunifu huyu huyu Ally

Tausi akiwa amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Husna Tandika wakati viatu vyake akiwa ame muungisha Tanzania Stylish Blogger LAvidoz

Tausi akiwa amevalia Vazi kutoka kwa mbunifu Siacouture na Viatu kutoka kwa Lavidoz

Tulicho kuwa tunajaribu kusema au kuonyesha ni kwamba tukiamua tuna weza Tausi kaamua na sisi wengine tufuate kwa kumuangalia Tausi tu tuna weza kusema wabunifu wetu wana pieces nzuri tu katika collection zao ni sisi jinsi ya kuzi style maana wengi tuna sema hakuna wabunifu Tanzania lakini muangalie Tausi Je unaamini hiyo mavazi yame buniwa hapa hapa Tanzania? Chagua Cha Nyumbani, Support wabunifu wetu

 

Related posts

3 Comments

  1. have a peek at this web-site

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tausi-likokola-ni-maana-tosha-ya-support-cha-nyumbani/ […]

  2. เครดิตฟรี 50 ยืนยันเบอร์

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tausi-likokola-ni-maana-tosha-ya-support-cha-nyumbani/ […]

  3. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tausi-likokola-ni-maana-tosha-ya-support-cha-nyumbani/ […]

Leave a Reply