Tausi Likolola ni mwanamitindo kutoka Tanzania ambae makazi yake kwa sasa ni nje ya nchi, leo katika ukurasa wake wa Instagram ame post hii gauni ambayo ni kutoka kwa mbunifu Marlene H’couture kutoka South Africa. Tausi Slay the dress

tausi1 tausi2 unnamed

Comments

comments