SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

#TBT- BELLE 9’S STYLE REVOLUTION
Mitindo

#TBT- BELLE 9’S STYLE REVOLUTION 

Ukiongelea wasanii wa kiume wenye kipaji na wanao imba mziki mzuri huwezi kuacha kumtaja Belle 9, belle amekuwa vizuri toka ana anza mpaka sasa kuanzia sumu ya penzi, shauri zao,nilipe nisepe, listen mpaka sasa burger movie selfie zote zina fanya vizuri, Lakini pia belle yupo vizuri katika kuvaa, hatusemi kwamba he is a fashion icon hapana lakini hazingui kwenye mavazi ana ule muonekano wa kisanii tangu siku ya kwanza anaanza mziki na hizi ndizo style revolution zake

Hii ilikuwa zamani lakini by then belle alikuwa katisha sana

Yes To Plaid Shirts, they never go out of style

Hii Kama sio mwaka jana ilikuwa mwaka juzi the colorful Belle

Belle in Mgomberwa brand

Well mwaka jana na huu kaamua kuwa na style za nywele zisizo eleweka ila kimavazi his game is still strong

Related posts

4 Comments

 1. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-belle-9s-style-revolution/ […]

 2. 카드단말기

  … [Trackback]

  […] Here you can find 3380 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-belle-9s-style-revolution/ […]

 3. 코인선물

  … [Trackback]

  […] There you can find 89556 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-belle-9s-style-revolution/ […]

 4. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-belle-9s-style-revolution/ […]

Leave a Reply