SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TBT- Lucky Creations Collections On Swahili Fashion Week 2014-2015
Mitindo

TBT- Lucky Creations Collections On Swahili Fashion Week 2014-2015 

Kama Fashion Blogger wengine we love us some good designers, designer ambae ana buni wearable collection, good patterns na ambae yupo humble. Hapa Tanzania kwetu wabunifu wengi ni wazuri kuanzia ubunifu mpaka tabia,Tukiwa tuna elekea katika Swahili Fashion Week 2017 tumeona tuwaletee collection ambazo sisi zilituvutia miaka kadhaa nyuma na leo tupo na m’bunifu Lucky Sabas A.K.A Lucky Creations na collection zake alizo debut katika jukwaa la swahili fashion week 2014-2015.

Kwanini Collection Hizi? Ni kwa sababu ya jinsi Lucky aalivyo zibuni Fashion fowards, pattern zipo vizuri, finishing nzuri lakini pia zinaweza kuvalika na yoyote katika nyakati mbalimbali na sehemu mbalimbali

2014 Collection yake ilikua black na a little bit of silver, as we all know every woman deserve au lazima awe na a little black dress kwenye kabati lake, hii ni kutokana na black fit’s every where na ukiwa hujui uvae nini always go for a black outfit it never disappoint unless uwe umeivaa na accessories hazieleweki.

This peplum dresses is perfect kwa mitoko ya jioni, tumependa jinsi alivyo ongezea hio silver color hapo kiunoni, high slit to show off some legs, kama tulivyo sema Lucky she is fashion forward mwaka jana hii design ilitamba sana ya mpasuo pembeni lakini yeye alisha liona hili toka 2014

This two piece number is every thing, a little crop top ya silver na black with a long max skirt hii nayo kila msichana ana ihitaji kwenye kabati lake 

2015 Lucky akakua na kuamua kuleta colorful collection, we loved every piece in this collection, ni collection ambayo inaweza kuvalika kwa miaka kadhaa mbele

The floral off shoulder dress, tumeona off shoulder zilivyo trend mwaka huu well lucky did that kutoka 2015, this dress ina tukumbusha aliyo ivaa Rihanna kwenye wimbo wake na Dj Khaleed Wild Thoughts

Off shoulder Max Dress hii ni kwa kila aina ya msichana uwe mwembamba au mnene you can rock this 

Burgundy

This pattern is so nice ni kama batiki, its real nice na mishono yake pia ilikua mizuri

Na huyu ndio Lucky Creations, we can’t wait kuona mwaka huu ana tuletea nini.

 

Related posts

3 Comments

 1. youtube video download free

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-lucky-creations-collections-on-swahili-fashion-week-2014-2015/ […]

 2. Purchase Crystal Meth Online For Sale Melbourne

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-lucky-creations-collections-on-swahili-fashion-week-2014-2015/ […]

 3. join the illuminati

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-lucky-creations-collections-on-swahili-fashion-week-2014-2015/ […]

Leave a Reply