Leo katika tuma nyuma yaani throw back Thursday tunaangalia ile mitindo ya zamani miaka ya 70-90 iliyo kiki sana, wakati huo viatu ambavyo ni high heels zilikua ni rison (laisoni) watu wengi maarufu Nchi za nje na hata Africa walivivaa.
Raison
siku hizi vinaitwa teremka tuongee japo vilikuwa modified ndo tukapata hizi high heels nyembamba pamoja na wedges.
Cha cha cha
Cha cha cha ni viatu vya plastic vilikiki sana kipindi cha nyuma, ila juani vinaunguza mno.
Suruali za bwanga na Afro Nywele.
Bwanga suruali pamoja na Afro nywele ni mitindo iliyo tumiwa kwa wanawake na wanaume kipindi hiko, ilikua ukivaa bwanga, nywele zako Afro na cini Raison basi wewe ni Fashion Killer.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-mitindo-ya-zamani-iliyo-kiki/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-mitindo-ya-zamani-iliyo-kiki/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-mitindo-ya-zamani-iliyo-kiki/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-mitindo-ya-zamani-iliyo-kiki/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-mitindo-ya-zamani-iliyo-kiki/ […]