Ali Saleh Kiba au Alikiba kama anavyo julikana na wengi, ni mwanamuziki ambae ame zaliwa mwaka 1986 , Ali kiba ana julikana kutokana na Hit songs zake kama “Mwana”, “Chekecha Cheketua” “Cinderella”, “Nakshi Nakshi”, “Usiniseme”, “Dushelele”, “Mapenzi YanaRun Dunia”, “Macmuga” na nyingine nyingi, leo hatuongelei muziki leo tunaongelea mitindo ya Ali, Ali yupo simple sana hasa ki mavazi hafanyi efforts nyingi kuvaa lakini ana pendeza kivyovyote iwe casual, official au shorts ana pendeza sana leo tuna Throw back nae kutokana na mitindo ya mavazi yake
Kiba Casual
Kiba akiwa ndani ya casual outfit ya rangi moja
Ali Kiba akiwa ame valia suit
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-na-alikiba/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 23290 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-na-alikiba/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-na-alikiba/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-na-alikiba/ […]