SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TBT NA MISS TANZANIA 2004 FARAJA K. NYALANDU
Mitindo

TBT NA MISS TANZANIA 2004 FARAJA K. NYALANDU 

Faraja Kotta (Faraja Nyarandu),Miss Tanzania 2004,ambaye alituwakilisha mwaka huo katika Miss World iliyofanyikia huko huko Sanya-China linapofanyikia shindano la mwaka huo tarehe 1 December .
misstz041
Faraja Kotta alizaliwa tarehe 6 Mei 1985 jijini Dar-es-salaam. Baada ya kutumikia taj taji lake alijiunga na Chuo Kikuu Cha Dar-es-salaam kusomea sheria.
Kotta aliwahi kuwa “Miss Ubungo” na baadae kuwa “Miss Kinondoni“, baada ya kuwa Miss Kinondoni akaja kuchaguliwa kuwa “Miss Tanzania” kwa mwaka wa 2004.
Img223199840
Kotta ni Mwachama wa “Youth Executive Committee” ambayo ipo chini ya Youth Net Tanzania, na pia ni Program Officer wa kipindi cha Njia Panda ambapo anafuatilia wale wananchi wanaojitokeza na matatizo na kuhakikisha wamesaidiwa na vipi wanaendelea.
IMG_5967
 Faraja  kwa sasa ameolewa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu na hajihusishi sana na maswala ya mitindo kwa sasa ana jihusisha na maswala ya kuisaidia jamii hizi ndizo kutoka kwake zilizo tuvutia kwa miaka michache iliyo pita
10787820_758961314188734_922337910_n 10817814_855996607785798_1724043587_n 11262620_1698586957043735_1551171653_n 11850315_688189854649269_1771885024_n blogger-image--185131807

Related posts

1 Comment

  1. Ultimate weed buying

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-na-miss-tanzania-2014-faraja-k-nyalandu/ […]

Leave a Reply