Akiwa ni mwanamitindo pia ni fashionista Wema huwa hatakagi utani anapo kuwa red carpet, ana weza kuvaa nguo za bei ghali ili tu apendeze ” well money aint a thing’ bora utumie hela ulinde heshima kuliko kuvaa nguo za bei rahisi kesho uwe gumzo mitandaoni. Hizi ndizo zilizo tupendeza kipindi hiko kutoka kwa wema sepetu

Wema-Akiwasili-Red-Carpet Wema-Sepetu-akiwa-Red-Capet

IMG_8303

foolishage-premier-200-of-273

GREEN CARPET WOMANS CEREBRATION32

IMG_0554