SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

#tbt TREND ZILIZO PENDWA 2016
Mitindo

#tbt TREND ZILIZO PENDWA 2016 

Leo tuna rudi nyuma to mwaka jana, yes mwaka jana ulikuwa moto na ikiwa tume fikia mwezi mmoja toka tuingie 2017 tumeona tu throw back na zile trend pendwa zilizo hit 2016.

Velvet – Velvet ili make way yake mwaka 2016 mwishoni lakini ili hit  mno kila fashion blogger, fashionista au mtu maarufu alikuwa akionekana ame rock hii trend na seriously tuna weza kusema mwaka 2017 we gonna see more of this trend

Gigi Hadid akiwa ame valia Velvet boots

Kylie Jenner on Velvet tuxedo dress

Victotia Beckham in Velvet pleated skirt

The slip-on dress – tulisema ooh this is crazy mtu ata tembeaje na gauni la kulalia tukiwa hatujui wakati wabunifu wana buni walikuwa na maana yao, well sleep on dresses zili hit mno 2016, kila mtu maarufu alivaa and we have to admit zime onekana kuwa comfortable na kumpendeza kila mtu kama tu akiwa ame ivaa inavyo takiwa ilikuwa a perfect trend for summer.

The backpack – who would ever thought back pack zinge kuwa trend? designers of course, from Burberry Rucksack to other designers walibuni hizi back pack na zikawa trend 2016, ilikuwa the coolest accessory mwaka jana as una weza ku fit in vitu vingi kuliko kwenye mkoba

Statement furs – nani asiye taka kuonekana stylish katika winter? hakuna right? Tanzania hivi vipindi hatunaga ila huko kwa wenzetu vipo basi mwaka jana Statement furs zilitamba sana kipindi cha baridi kutoka kwa Rihanna, Lady Gaga, Kendall Jenner na wengine wengi

 

Related posts

8 Comments

 1. How to take albino penis envy shrooms

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

 2. High 90s Vape Pens

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

 3. ufabet

  … [Trackback]

  […] Here you can find 5162 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

 4. Visit Website

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

 5. this

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

 6. Full Report

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

 7. h&k

  … [Trackback]

  […] There you can find 190 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

 8. สล็อตbetflik

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tbt-trend-zilizo-pendwa-2016/ […]

Leave a Reply