Khadija Mwanamboka ni mwanamitindo anae tokea hapa nchini Tanzania, ambapo alianza kubuni mavazi yake na mama yake kabla hajaanza kubuni kwa ajili ya watu wengine, 1996 akiwa na miaka 18 Khadija alipata nafasi ya kuonyesha mavazi yake katika ukumbi wa diamond jubilee. 1998 Khadija alibuni vazi la Basilisa Mwanukuzi ambae aliweza kutwaa taji la Miss Tanzania kwa mwaka huo. Kwa sasa Khadija ana miliki kampuni ya chakula iitwayo Vitu Vya Khadija. Tanzania Tunajivunia kuwa na Khadija ni mwanamke shupavu na anae ipeperusha bendera ya nchi yetu vizuri hasa katika upande wa mitindo.

Baadhi ya mavazi yaliyo buniwa na Bi.Khadija Mwanamboka

IMG_0106

f5[1]

556554_4227705344289_2011620353_n

408491_4227700464167_494828669_n

 

271186_4227598701623_2084429201_n 423945_4227601941704_1720715644_n