SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tems Akosolewa Na Vazi Lake Hili Katika Tuzo Za Oscars 2023
Mitindo

Tems Akosolewa Na Vazi Lake Hili Katika Tuzo Za Oscars 2023 

Mwanamuziki Tems kutoka Nigeria aliwakilisha Nchi yake pamoja na Africa kwaujumla katika Tuzo za Oscars 2023, Tems alikuwa nominated katika tuzo hizo kupitia wimbo alioufanya na mwanamuziki Rihanna “lift me up” ambao ulitumika katika movie ya Black Panther.

Tems alihudhuria Tuzo hizo akiwa amevalia white dress kutoka kwa mbunifu lever couture gauni hilo lilikuwa na extravaganza head piece ambayo kwenye red carpet ilikuwa nzuri yaani ali-make statement

Tatizo lilikuja baada ya picha zake zilipokuja kutoka akiwa ndani ya Tuzo hizo ambapo watu wa nyuma yake walionekana kushindwa kuona kinachoendelea mbele kutokana na head piece yake kuwazuia kuona mbele

Lakini kuna wale waliomtetea na kusema kwamba yeye sio kwanza kuvaa nguo ya aina hizi, Lady Gaga pia alishawahi ku-attend tuzo hizo akiwa amevalia head piece ndefu kabisa lakini pia wakumbuke huku Africa viremba ni jadi yetu lol

Anyways Afromates tupeni maoni yenu katika hili.

Related posts