SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tems Vs Fahvanny Who Rocked The Outfit Better
Mitindo

Tems Vs Fahvanny Who Rocked The Outfit Better 

Kama kuna kitu wote tunaweza kukubaliana nacho ni kwamba the African Girls are making waves on the fashion industry, Fahyma (fahvanny) na Tems ni moja kati ya watu maarufu kutoka Bara hili wenye mapenzi na fashion.

Mwishoni mwa mwaka jana tulimuona mwanamuziki Tems akiwa amevalia vazi hili la lace catsuit lenye rangi ya blue akiwa ana perfome Ghana katika Global Citizen Concert, Tems alivaa catsuit yake na silk mini skirt yenye shiny scalp,amemalizia muonekano wake na silver laceup heels, miwani pamoja na bracelet akimalizia na subtle makeup look, fluttering lashes, ombre matte lips paired perfectly with face-framing fringe and long wavy hair.

Fahyma tulimuona akiwa ameenda kum-support Nandy yeye akiwa amevalia vazi linalo fanana na la Tems ila ya kwake ilikuwa full white, lace white top, silk mini skirt yenye shiny scalp, amemalizia muonekano wake na white thigh high boots, miwani huku kichwani akiwa na long braids na simple makeup, big hoop earrings na rings

Hatukuweza kuchagua nani ame rock the outfit better, so tumeleta hapa tupate maoni yenu mnadhani nani ame style hili vazi vyema zaidi Fahyma au Tems?

Related posts

1 Comment

  1. coffee shop jazz

    coffee shop jazz

    coffee shop jazz

Comments are closed.