SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Teyana Taylor Jumps Up Stairs At The Met Gala
Mitindo

Teyana Taylor Jumps Up Stairs At The Met Gala 

Mara nyingi huwa tukiona mavazi ya watu maarufu kuna maswali tunajiuliza ikiwepo akimaliza kulivaa lile vazi ana lifanyia nini? Lakini pia huwa wanatembeaje na hayo mavazi ikiwa vazi lime m’bana sana. Mwaka jana tuliona Kim Kardashian alivyokuwa anapata shida kupanda ngazi katika Milan Fashion Week ikam’bidi aruke kama Kangaroo.

Imeonekana mwaka huu mwanadada Teyana Taylor nae amepitia shida hio baada ya kuonekana akiruka katika ngazi za Met Gala 2023, Teyana alivalia cut out hips  black-and-white tweed design by Thom Brown.

Ukiachana na kituko hiki inasemekana Teyana pia alibeba msosi na kuingia nao katika event hii, anyways tuambie Je uko tayari ku-sacrifice comfortability for fashion?

Related posts