SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The 2019 Golden Globe Award Red Carpet
Mitindo

The 2019 Golden Globe Award Red Carpet 

Golden Globe Awards ni tuzo kubwa zinazofanyika kila mwaka, Golden Globes Awards ni tuzo ambazo zinahusika na Tasnia ya Filamu, kama ni mcheza filamu, muandishi wa filamu, director etc wote ambao wanahusika katika production za filamu wanahusika na tuzo hizi, Mwaka jana katika red carpet ya Tuzo hizi waliamua kuvaa nyeusi na hii ni kutokana na ku-support gender equality, kama ni mpenzi wa habari utakuwa umeshasikia movement ya #meetoo ambayo hii wanawake kutoka sekta mbalimbali wanaongelea unyanyasaji walio kutana nao kutokana na kwamba wao tu ni wanawake, Lakini mwaka huu the carpet is back na unavaa ujisikiacho lets see nani amevaa nini

Worst Dressed At The Golden Globe Awards 2019

Heidi Klum akiwa amevalia black sheer cinderella dress, ambacho tumependa zaidi ni hayo maua ambayo yameongezea color life katika vazi lake, tunependa zaidi kama angebana nywele ili tuweze kupata a clear picture ya gauni na mwili.

Sandra Oh didn’t do wrong to our eyes, Makeup, accessories, hair and the dress is just so Golden Globe “clean”

Timothee Chalamet kept it simple with black and white outfit akiwa ameongezea a lil touch of sequin, love it.

Lupita Nyong’o akiwa anaendelea kutuonyesha namna ambavyo a melanin can rock bright color akiwa amevalia hii blue Valentino dress, she always bring her A1 game that makeup is delicious.

Why wear a dress or romper when you can wear both? Gemma Chan in Valentino petrol blue romper dress, akiwa amemalizia na pointy toe shoes na red lipstick, Snatched.

KiKi Layne

Lady Gaga Shut it down with this Valentino lavender dress 

Regina King is dripping in this rose gold body-hugging sequin dress

Constance Wu,

Allison Janney wearing Christian Siriano.

Catherine Zeta-Jones wearing Elie Saab.

Camilla Belle

Janet Mock wearing OFF-WHITE.

Ricky Martin

Related posts