SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Ankle Wrist Bag Trend
Mitindo

The Ankle Wrist Bag Trend 

Ukiachana na anklets, henna na tattoo kulikuwa hakuna namna nyingine ambayo unaweza ku-accessorize mguu wako lakini kwa sasa imeonekana unaweza kuvaa hizi ankle wrist bag na ukapendezesha mguu wako vizuri tu.

Hii trend tumeiona kwa watu maarufu mbalimbali nje ya Nchi lakini hapa kwetu pia imeonekana kutua, Tumewaona fashionista’s Sishkiki, Ms Ris Eddy na Hamisa Mobetto wakiwa wamevaa viatu na pochi katika miguu yao.

Well afromates kama Afro tumependa hii trend lakini hakikisha kapochi ni kazuri, kasafi na kanaendana na viatu vyako, let us know yout thoughts on the trend.

Related posts