SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Art Of Making Cheap Clothes Look Expensive
Mitindo

The Art Of Making Cheap Clothes Look Expensive 

So tulikuwa tunapitia mitandaoni na tukakutana na hii story ya baby mama wa Diamond Platnumz kuvaa gauni inayouzwa $24 sawa na Tzs 54,784.80/- wengi walikuwa wanasema amevaa cheap outfit, well kwetu tukasema she made the dress look worth kuliko ambavyo linauzwa kama hujui bei na huna hela huwezi kujisumbua kulitafuta moja kwa moja utasema this dress is out of my league.

 

Lakini si mara moja kuona Zari anavaa mavazi ya bei rahisi na kuyainua yakaonekana bora zaidi sisi huwa tunaiita hio sanaa (art) ambayo sio wengi wanayo kuna wengine wana art ya kufanya expensive cloth look cheap.

Well tumekuletea Tips za nini ufanye ukawa kama Zari unavaa kitu cha bei rahisi lakini unakinyanyua kuonekana ghali

  • Chagua neutral colors 

Ni rahisi kufanya vazi ambalo lina rangi za neutral kuonekana expensive kuliko zile ambazo zina prints au rangi kali, iwe unavaa casual au unatoka kwenye event unaweza kuongezea accessories chache na kufanya uonekane like million $ bag, kama una mfuatilia Zari uta notice 80% ya mavazi yake ni neutral colors na mara nyingi hupenda kuvaa full rangi moja, she is killing it on a budget

  • Ongezea Bring Bring

Kama una jewelry au accessories ambazo zinaweza kubeba muonekano wako kutoka Z to A basi hizo ndizo zinatakiwa uziongezee wakati unavaa cheap clothes zako, a rolex gold watch, a nice pair of gold earrings  can never make a outfit look cheap.

  • Chomekea Na Uvae Mkanda 

Ukiwa upo casual au oficial wear na ungependa kuupa muonekano wako thamani, chomekea na ongezea na mkanda mzuri juu. Mara moja muonekano wako utaongezeka thamani kutoka kwenye cheap na kuonekana umeongeza some coins kwenye vazi lako.

  • Viatu

Mara nyingi huta tunasema a pair of shoe can upgrade or destroy your look, kuwa makini na viatu unavyo chagua kuvaa, ukivaa kiatu kibaya obvious hata kama umevaa vazi lina thamani ya milioni viatu vitalivuta vazi kuonekana lina thamani ya buku lakini endapo utachagua kiatu kizuri katika vazi la elfu moja basi viatu vitabeba lile vazi completely

  • Layering 

Hili ni somo for another day lakini kwa kifupi tu kuongezea vitu kama blazer, coats, kimono vinaweza kufanya muonekano wako uonekane na thamani kuliko thamani ya vazi lenyewe

  • Piga Pasi, Paka Makeup & Style Nywele Zako Vyema

Kama unamfuatilia Zari utakuwa unaona her makeup is always on point, nywele ana style  vizuri kama hajabana nywele basi anakofia nzuri, huoni makunywanzi kwenye mavazi yake, she is just taking notes on how to upgrade her looks from 0 to 100,

 

 

 

Related posts

2 Comments

  1. Watermelon 1.2g Wax Infused Pre-Roll

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-art-of-making-cheap-clothes-look-expensive/ […]

  2. see it here

    … [Trackback]

    […] There you can find 4964 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-art-of-making-cheap-clothes-look-expensive/ […]

Comments are closed.