SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Belted Suit/Blazer Is Taking Over
Mitindo

The Belted Suit/Blazer Is Taking Over 

Kama utakuwa umenotice suit hasa kwa wanawake ina trend sana mwaka huu, na hasa colorful suit. Lakini pia ni jinsi ambavyo koti la suit linavyo kuwa accessorized na belt. Tumependa style hii hasa kutokana na mambo makubwa matatu

Tuachane na mazoea kwamba suit inavyo valiwa ndio hivyo hivyo sasa hivi mambo ni kuwa extra tu, well tumeona fashionista’s mbalimbali wakiwa wamejaribu kuvalia hii trend na belt sio lazima iwe belt unaweza kuvaa hata a fanny pack alimradi tu umefunga kitu kiunoni

Kwetu Tanzania tumeona fashionista’s kadhaa wakiwa wamevalia trend hii

fashion blogger Jacqueline Albert wa  Lehahaute yeye anapenda sana kuvaa hii style lakini tuliyoipenda sana ni hii ambayo alivaa short denim skirt, a long blazer ambayo aliifunga na belt akavaa na cross body bag na kumalizia na red open heels.

 

 

Lakini tuliiona pia kwa mbunifu Mgece Cici ambae yeye alitumia the trending belt off white industrial belt ambapo alivaa na plaid blazer na black leegins akamalizia na pumps na black handbag.


 

Lakini pia tulimuona Fashionista Chanel Files akiwa amevaa style hii ambapo yeye aliistyle mara mbili lakini yeye alitumia fanny pack kuifunga koti lake hili ambapo mara ya kwanza alivaa a denim min skirt na white tee juu akatupia pink blazer ambayo alivalia na gucci fanny pack akamalizia na knee length boots na miwani.

 

=

Mara ya pili aliistyle na full suit akarudia viatu na t-shirt this is the art of style, ni namna unaweza kuvaa kitu kimoja mara nyingi kwa namna tofauti tofauti.

Kuna namna nyingi una weza kustyle trend hii inategemea na matakwa yako baadhi ya fashionista tulio waona na hii style

Related posts

3 Comments

  1. glock 17

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-belted-suit-blazer-is-taking-over/ […]

  2. click for info

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-belted-suit-blazer-is-taking-over/ […]

  3. wimbledon strawberries and cream​

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-belted-suit-blazer-is-taking-over/ […]

Comments are closed.