SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Best And Worse Of Hamisa Mobetto Through Years
Habari

The Best And Worse Of Hamisa Mobetto Through Years 

Ukitajiwa jina Hamisa Mobetto leo unaweza kumtambua haraka sana kutokana na habari zake, lakini Hamisa ametoka mbali mpaka kufika hapa halipo. Hamisa ni mwanamitindo ambae amezaliwa 1994 Mwanza,Tanzania alianza career yake mwaka 2010 ambapoa alishinda event iliyoitwa miss XXL iliyo andiliwa na XXL team kutoka Clouds Media Group, 2011 Hamisa alishiriki Miss India Ocean ambapo alishinda na kuwa Miss India Ocean no:2, mwaka huo huo Hamisa alishika namba mbili katika Miss Kinondoni ambapo alifanikiwa kushiriki Miss Tanzania 2011. 2012 Hamisa alirudina kushiriki Miss universityAfrica na kufanikiwa kuingia Top 10

uanzia hapo safari yake ya uanamitindo ikaanza. Tunajua Model na fashion zinaenda mkono kwa mkono na Hamisa ni moja kati ya wasichana wanao julikana kwa kuslay hapa nchini kwetu hizi ni baadhi tu ya tulizo zipata na maoni yetu

Growing up tulikua tunamjua Hamisa kutokana na sexy body yake ya kibantu na enzi hizo alikua anatumika sana kwenye photo shoot za lingerie na vitovu nje, her body was and still is a bomb

Hamisa ana tumika sana na brand mbali mbali katika kutangaza mavazi yao lakini pia ni slayer in real life japo pia makosa huwa hayakosekani, Kama kuna hizi mbili ambazo kwetu tume ziona kama disappointment

Hii alienda Uganda kwenye Abryanz Style and Fashion Awards mwaka jana tulipenda gauni lakini jinsi ambavyo ame liaccessory kwetu ilikua hapana the shoes na clutch was off na nywele ni kawaida sana

Hapa japo hakuwa sehemu ya mkusanyiko wa watu ila aliipost mwenyewe kwetu viatu vipo awkward lakini ilikuwa ni zamani kidogo ina sameheka

Hizi ni zile ambazo zilituvutia hasa back then mpaka sasa

Casual pink

Burgundy, White & Nude number

Double Denim Never Looked This Better 

Wedding Guest Style 

Black & White

 

Red carpeting

Hamisa ni mama wa watoto wawili & her pregnancy photo shoots huwa ni kali mno

Matumaini yetu ume enjoy kumjua Hamisa na mikato yake toka zamani, tuambie ungependa tumuweke nani week ijayo?

 

Related posts

3 Comments

  1. molly drug color,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-and-worse-of-hamisa-mobetto-through-years/ […]

  2. High 90s Watermelon Sherbert 3.5g Flower

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-and-worse-of-hamisa-mobetto-through-years/ […]

  3. pay off credit card debt

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-and-worse-of-hamisa-mobetto-through-years/ […]

Leave a Reply