SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Best And Worse Outfit’s Of The Week
Mitindo

The Best And Worse Outfit’s Of The Week 

Tumeanza week nyingine tena na tuna review week iliyopita nani alipendeza na nani hakupendeza, week ilikuwa na mambo mengi mengi yaliyo hitaji watu ku-slay lakini pia kuna wale ambao walikuwa na mitoko yao binafsi wakaamua kutuonyesha namna walivyo vaa.

Hawa ndio waliotuvutia week hii

Hamisa Mobetto looked like a snack in green dress, tumependa makeup, the dress na viatu, well styled & proper japo Hamisa anahitaji kutafuta hair stylist hii nywele tumeshaichoka na namna ambavyo ana bandikwa ni outdated

Irene Uwoya in floral mini dress, tumependa jinsi ambavyo amejaribu kitu kingine na kuwa colorful, the shoes on point.

Jacqueline Mengi amejaribu kitu cha tofauti ambacho tumependa mno, alikuwa katika Dubai International Fashion Week na alivaa a two pattern outfit we loved the look its okay to change sometimes

Nasreen Karim nae alipendeza na hii pink tuxedo dress, ambayo alivalia na pink fur heels.

Kwa wanaume stylist Rio Paul alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa na alivaa hii blue two piece outfit kutoka kwa mbunifu the Agness

Ambao wame tu dis-appoint na tunatamani sana wangepata stylist ni Ray Vanny Na Faymah, too much is going on sometimes less is more, tunatamani wange loosen up a lil bit na kujaribu ku-style better huu mtoko for a boat party this was a failure

Tuambie wewe kwako nani amekuvutia zaidi?

Related posts

1 Comment

  1. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] There you will find 77759 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-and-worse-outfits-of-the-week/ […]

Comments are closed.