SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Best And Worse Red Carpet Looks Of Faiza Ally Over The Years
Mitindo

The Best And Worse Red Carpet Looks Of Faiza Ally Over The Years 

Faiza Ally has been making waves lately, kila red carpet anayo attend anaonekana kuvutia anavaa anapendeza lakini pia anaenda na theme, lakini tunaweza kusema Faiza had a long way to go hadi kufikia hapa. She started this journey from the bottom kwa kweli kipindi cha nyuma amekuwa akiattend kwenye hafla akiwa kama kituko yaani lazima awepo kwenye worse dressed list, but ame make sure anafika on top & we are here for it, anatupa matumaini siku moja na hawa wengine watajifunza well tuone mionekano yake ambayo ili tu-disappointing na ambayo imetufairaisha.

Tuanze na hii ya mwaka 2015, Faiza alihudhuria Kilimanjaro Music Awards in this outfit, well kila mtu aliongelea hili vazi na bado tunaliongelea tunadhani ubunifu ulikuwa on point lakini execution yake ikakosewa na kufanya aonekane a messy au kituko kwenye red carpet hio. 

Faiza alihudhuria katika Zari all white party mwaka 2015 akiwa kwenye hii white shirt dress, haikuwa that worse lakini pia haikuwa wow just regular japo kwetu sisi tunaona this is not a red carpet look ambayo tungechagua kufika nayo kwenye hafla hio.

2016 Faiza Ally alifika kwenye red carpet ya The Black Tie’ ya Wema Sepetu akiwa amevalia hii min red dress, bado alikuwa ana struggle na kuwa katika list ya waliopendeza bado hapa alikuwa regular na alikuwa hajui kutofautisha kati ya part za kawaida na party ambayo unafika red carpet kwanza.

Lakini huu mwaka 2018 Faiza amekuwa akitupa looks after look, red carpet appropriate in so many levels the growth is real, tunapenda na tuna hope aendelee kukua zaidi na zaidi katika mionekano yake ya red carpets, she is making waves na kuwaonyesha watu how its done.

Faiza alikuwa best dressed wetu katika Viking’s night alikuwa perfect for the event, nguo ilikuwa comfortable, makeup & hair on point she slayed

Faiza Ally in single mothers events, she brought the sexiness in classic way love it, the color pop trouser was a statement.

Lakini pia you can count on her katika ku-make statement.

Related posts

2 Comments

  1. エロ動画 レイプ

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-and-worse-red-carpet-looks-of-faiza-ally-over-the-years/ […]

  2. Dividend

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-and-worse-red-carpet-looks-of-faiza-ally-over-the-years/ […]

Comments are closed.