SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Best And Worst Look At Vodafone Ghana Music Awards
Mitindo

The Best And Worst Look At Vodafone Ghana Music Awards 

Tukio kubwa lililo tokea Africa weekend hii ni Vodafone Ghana Music Awards, Ambazo hizi ni tuzo huwazinatolewa kwa wasanii wa muziki. Watu maarufu wengi walihudhuria wakiwepo wasanii wa muziki, waigizaji na wengineo. Well lets see their looks on red carpet shall we?

Actress & TV Personality Selorm Galley Fiawoo, alivaa green top & skirt kutoka kwa sima_brew tumependa ame dare kuvaa rangi kwenye red carpet, outfit ime m-fit vizuri. Good choice of shoes & make up. Well Selly has always been a slayer.

 

Host wa siku hii alikuwa Tv Personality Berla Addardey ambae alivaa 3 outfits katika tatu zilizo tuvutia sana ni hizi mbili.

This Gorgeous fringle white dress,  went perfect well with her body. She gave us some type of expensive chandelier. Nywele zimebanwa vizuri na makeup on point.

Gauni la pili tulilo lipenda ni hili la rangi ya baby yellow,  that bold burgundy lipstick and the smile. who can deny that?

Muigizaji Kafui Danku looked like a chocolate cake in this black dress. makeup & accessories on point.

Kwa upande wa wanaume tulimpenda huyu  DJ BREEZY alivaa suit nyekundu hakuvaa shati ndani, na raba nyeupe so stylish katukumbusha Wiz Khalifa.

Russell Edem Avornyo pia alipendeza na color blocking suit yake, tumependa jinsi ambavyo ameweza kuufit vyema mwili wake kwenye suit bila kuonekana juu mdogo chini mkubwa.

 

Walikuwepo wengi sana lakini hawa ndio tuliwapenda zaidi, na mionekano yao well tunajua huwaga hakukosekani na wale ambao hawajui wanacho takiwa kufanya.

Kama ulisha wahi kusikia wimbo unaitwa one corner huyu ndio muimbaji wake anaitwa Patapa, ali show up katika event hii na over sized blue suit yake. 

Huyu ni mwanamuziki nae anatoka Ghana freda rhymzgh tunadhani alikuwa hiyu ni moja ya victim wa online shopping alikuwa ameipata hii nguo late na hakuwa na other option, it does look like a fashion nova fit that doesn’t fit.

 

Related posts

1 Comment

  1. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-and-worst-look-at-vodafone-ghana-music-awards/ […]

Comments are closed.