SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Best & Worst Red Carpet Look At The Black Girls Rock Awards
Mitindo

The Best & Worst Red Carpet Look At The Black Girls Rock Awards 

Huko kwa wenzetu ni kawaida kwa wao kupeana tuzo ma red carpet kila siku, jana kulikuwa na event ambayo imepewa jina la Black Girls Rock hii huwa wanapewa tuzo wanawake weusi wanaofana vizuri katika sekta mbalimbali. Watu maarufu mbalimbali walihudhuria na kama kawaida ya Afroswagga jicho likawa katika red carpet kujua nani amevaa nini na je ametukonga moyo au kauchefua?

Tuanze na waliokonga moyo

  • Janet Jackson

alihudhuria katika red carpet hii akiwa amevalia Christian Siriano FW18  blue & black Cinderella dress, kama unamjua Janet lazima utajua her style is so different mara nyingi anapenda kuwa extra na mitindo yake, kwenye mitandao ya kijamii wameongelea sana kuhusu her hair lakini sisi tumependa kitu cha tofauti.

  • Naomi Campbell

In deep V orange dress we love the dress on her japo tunajua she could have done better lakini she looks better than most of the celebrities ambao walihudhuria hafla hii, she is onbangs wavy bob weave she went minimum on her makeup & accessories na kuliachia gauni liongee.

  • Ciara

Wearing Balmain dress we would like it short without the tail but well that us not Ciara, makeup na nywele imebeba muonekano but tungeipenda zaidi kama zingebanwa as usual show the neck & face with all the ruffle going on the hair ingebanwa ku-balance.

  • Millen Magese

Akiwa amevalia  eseazenabor outfit ambayo tumeipenda sana ni white & silver amemaliza na pumps za silver, we love the hair style but not the makeup.

Ambao kidogo tumeona wameharibu ni hawa hapa

  • Mary J. Blige

Akiwa amevalia Roberto Cavalli dress, this dress is not flattering & kuna mambo mengi yanaendelea tumependa kwamba amebana nywele na makeup simple bado the dress inaonekana too busy, with the turtle neck, pleated, slit na hapo kifuani its just alot going on for a red carpet look.

  • Queen Latifa

Yeye alikuwa all about the graduation gown. we just love the hair on her look the inside outfit & outside graduation gown isn’t working to us hasa kwenye red carpet issa no.

tuambie wewe umeona nani amependeza na nani amekosea?

 

Related posts

3 Comments

  1. ufabet

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-worst-red-carpet-look-at-the-black-girls-rock-awards/ […]

  2. https://www.kirklandreporter.com/reviews/phenq-reviews-fake-or-legit-what-do-customers-say-important-warning-before-buy/

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-best-worst-red-carpet-look-at-the-black-girls-rock-awards/ […]

  3. morning jazz

    morning jazz

    morning jazz

Comments are closed.