SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Blazer Dress Is Our Favorite Item This Season
Mitindo

The Blazer Dress Is Our Favorite Item This Season 

A blazer ni moja ya essentials ambazo hutakiwi kukosa katika kabati lako, lakini miaka ya nyuma wengi tulikuwa tunaichukulia official, thanks to fashionista’s sasa tunajua unaweza kuvaa blazer kwa namna tofauti hata ukitaka kuwa casual.

Mwaka huu Blazer imekuwa ikionekana mara nyingi na kuvaliwa kwa namna tofauti, its an item every fashionista own’s na anajaribu kuivaa kwa aina yake, well this is our favorite biggest trend kwa mwaka huu, Kwanini? kwa sababu sio kila siku unapata mialiko ya business uweze kuivaa unakuta blazer yako imekaa tu kwenye kabati hadi inapata harufu ya kabati, we can now take it out and dress it any how we feel like.

Unaweza kuvaa blazer tupu hapa utahitaji a blazer dress ambayo hii kidogo huwa ndefu hadi mapajani, unaweza kuistyle upendavyo kama na boots kama fashionista layllah alivyo fanya, how chic is this outfit? slaying effortless bila kutumia nguvu.

 

Its not t-shirt na jeans anymore ni blazer na jeans, we can wear this outfit all weekend and never gets bored of it, unaweza kuvaa blazer yako na jeans ukaongezea na accessories nyingine kama miwani, hereni, mikufu etc, unaweza kuvaa hivi ukiwa na mitoko na marafiki kama brunch etc.

Blazer & Track pant hii ni trend nyingine kubwa kwa sasa & we are loving the mixture of business wear & athlete, take your blazer out the office & track pants out the gym combine them together & give us the buss-casual look… mseto.

Who needs a denim trouser if you can wear a denim short?

Sio lazima uvae na viatu virefu kama ungependa muonekano wako uwe casual zaidi unaweza kuvaa blazer yako na chunky ( sneakers) au flat sandals au flat shoes ni jinsi ya wewe utavyo weza kustyle na kuwa comfortable.

Related posts