SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THE COMPLETE PIECE (VIPANDE VINAVYO KAMILISHA MUONEKANO)
Mitindo

THE COMPLETE PIECE (VIPANDE VINAVYO KAMILISHA MUONEKANO) 

The complete pieces ni vile vipande vinavyo saidia kukamilisha muonekano wako. Vitu kama Blazer (koti), Belt (makanda), Scarf, Statement accessories (mikufu, hereni etc) hivi vitu ndivyo husaidia kufanya muonekano wako uwe unaonekana ume kuwa putted together yaani ni kama vina polish muonekano

Topper– hivi ni vitupio vya juu yaani koti, cardigans, vest,jackets nk, its fun how una weza kufanya muonekano wako kubadilika kutoka A kwenda B kwa kuongezea tu koti, cardigan au jacket. Koti mara nyingi huvaliwa official japo hata kwenye mitoko pia una weza ku style ukapendeza. Cardigans zina trend kwa sasa ni nzuri kwa sababu ni nyepesi nayo pia una weza kuistyle kutokana na mtoko wako.

18-Best-Wearing-Ideas-about-Long-Blazers-13

 

Scarf – vazi lina weza kuonekana boring pale unapo vaa bila ya scarf lakini uka shangaa unapo ongezea scarf linavyo kuja kuleta maana, wengi wetu hatutumii scarf hasa nchi za Africa lakini ni moja kati ya urembo ambao una weza kubadilisha muonekano wako kabisa.

charlottehudders-com_-_781368291

 

Statement Chain (mkufu au hereni) – hii imeonekana kuwa vutia wengi hata huku kwetu maana wadada wa sasa wakivaa lazima utakuta ana mkufu mkubwaa shingoni, yes ni kitu kizuri sababu mkufu au hereni nazo ni completer pieces ambazo zina weza kuutoa muonekano wako sehemu moja na kuupekeleka sehemu nyingine

4743df95c6de4d684f57e83410cf2aac

Belt (mkanda) – Makanda ni game changer una weza kuvaa mwembamba au mnene na ukabadilisha muonekano wako actually mkanda ni our favorite complete piece ukiachana na kubadilisha muonekano pia ina polish na kuonyesha shape yako

f12baa21ae8e53dcd33fb48b7ba1fa20

Hope umejifunza kitu

wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

 

Related posts