SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Denim Trend #1 Embroidered Denim
How to Rock

The Denim Trend #1 Embroidered Denim 

Denim ina onekana ku kiki sana mwaka huu, ambapo wabunifu wame ongezea some touchs katika denim na imeonekana kupendwa sana na watu mbali mbali including us. Denim tend to be boring zikiwa plain japo zina valika lakini sometimes zinaonekana boring kwa kuongezea hizi touchs wabunifu wame fanya denim isiwe boring bali fun kuvaa, kuna vitu mbalimbali wabunifu wame onekana kuongezea lakini leo tunaongelea hiki cha kwanza ambapo ni

Embroiled hii ni kama kudarizi yaani jeans ina dariziwa maua au vikatuni, wanyama, wadudu na kadhalika. Kudarizi tumezoea kuona kwenye ma bazee lakiwa kwa sasa imewekwa kwenye jeans when African meets American baadhi ya wasanii walio onekana kuvutiwa na trend hii ni kama

Rihanna na Kanye West wao walivaa embroidered Gucci denim jacket wakati kila mtu alistyle jacket hili anavyo weza

Kanye West yeye alivaa jacket hili na denim trouser (denim on denim) na t shirt nyeusi na raba nyeusi casual

Wakati Rih yeye alivaa jacket hii na gauni jeupe na open heels

lakini kuna embroidered denim trouser pia hii tumeiona kwa rapa Tyga na mwanamitindo cara delevingne

Tyga alivaa suruali hio na hoodie nyekundu aliyo match na kofia yake na raba nyeupe

cara delevingne yeye alivaa hii suruali na short sleeves white shirt ambayo aliichomekea na mkanda mweusi na akamaliza muonekano wake na viatu vyeusi.

lakini pia kuna denim shirt,

denim skirt

, denim short pant

zote hizo zina weza kudariziwa na kuvaliwa vizuri, trend hii una weza kuifanya mwenyewe kama unajua kudarizi lakini pia una weza kupeleka denim yako kwa fundi juma aka kudarizia

baadhi ya fashion bloggers na fashionista walivyo style embroidered denim zao una weza kucopy

lakini pia kuna wabunifu mbali mbali walio tengeneza una weza kupata huko au bonyeza hapa kupata denim embroidered staffs by Gucci

Related posts

5 Comments

 1. site

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-1-embroidered-denim/ […]

 2. psychedelic mushroom chocolate bars legal in washington

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-1-embroidered-denim/ […]

 3. where to buy shrooms Sydney.

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-1-embroidered-denim/ […]

 4. turners

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-1-embroidered-denim/ […]

 5. 비트코인교육

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-1-embroidered-denim/ […]

Leave a Reply