SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Denim Trend -#2 Raw Hem Denim
Mitindo

The Denim Trend -#2 Raw Hem Denim 

Week ya iliyo pita tuliongelea kuhusu denim trend ya embroidered kama huku soma bonyeza hapa kusoma, lakini week hii tunaongelea kuhusu Raw Hem Denim trend hii ni ile trend ya watu kuvaa suruali za jeans zisizo fika chini yaani zinaishia kwenye kikonyo cha mguu kwenda juu pia kuna wengine ambao wana zikata ina kuwa kama ime fumuliwa badala ya kushonwa vizuri ( tutaonyesha mifano chini katika picha), kwetu tuna weza kusema tumeipa hii trend 85%  kwa sababu ukiivaa wrongly then haina ku go back kuwa nzuri , but we love that denim zinapata mionekano mipya

Baadhi ya watu maarufu walio vutiwa na trend hii ni pamoja na

Selena Gomez

Kendall Jenner

Bella Hadid na wengine wengi

Kama wewe ni mpenzi wa fashion na ume wa follow ma fashionista basi utakuwa ume waona wengi wakiwa wame vaa hizi suruali na kama ilivyo kwa embroiled denim hizi pia una weza kununua au kufanya mwenyewe nyumbani ni rahisi sana kata jeans yako chini urefu unao utaka halafu i distress toa zile nyuzi nyuzi and off you have it.

baadhi ya watu ambao tume kutana nao na tuka penda walivyo zi style

Je tuna fikiri every girl should own this pair of jeans? of course yes muda mwingine we need to have fun na mavazi yetu.

Je umeipenda trend au lah? tuandikie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

 

Related posts

3 Comments

 1. cvv sites

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-2-raw-hem-denim/ […]

 2. Fysio Dinxperlo

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-2-raw-hem-denim/ […]

 3. magic mushroom where to buy​

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-denim-trend-2-raw-hem-denim/ […]

Leave a Reply