The Dior Saddle ni moja kati ya iconic bag kutoka kwa Luxury French House Designer John Galliano, bag hii ilitoka mara ya kwanza miaka ya 90 well mwaka 2018 mbunifu kutoka katika brand hiohio ya Dior Maria Grazia Chiuri, aliamua kuirudisha tena bag katika soko kwa kui-revamp na kuongezea vitu kadhaa, na kama ambavyo ili trend miaka ya tisini miaka hii pia imeonekana kupendwa sana na watu maarufu.
Watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na hii bag ambapo inasemekana inauzwa kati ya $3,300 ambapo ni sawa na 7,560,630 mpaka $8,500/ sawa na Tzs 19,476,900/- Fashionista’s loves expensive ish ( don’t go broke though )
Tumemuona Nigerian radio personality, television host, vlogger, and author akiwa amebeba bag hii mara mbili
Watu maaruf wengine ni pamoja na fashion blogger Chiara Ferragini
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 75036 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-dior-saddle-bag-is-the-it-accessory-for-the-season/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-dior-saddle-bag-is-the-it-accessory-for-the-season/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 1286 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-dior-saddle-bag-is-the-it-accessory-for-the-season/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 20241 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-dior-saddle-bag-is-the-it-accessory-for-the-season/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-dior-saddle-bag-is-the-it-accessory-for-the-season/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-dior-saddle-bag-is-the-it-accessory-for-the-season/ […]