SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Girls Are Loving This Shein Bag
Mitindo

The Girls Are Loving This Shein Bag 

Mwaka unaisha na kama kuna kitu ambacho mwaka huu umemalizika nacho ni kwamba hakukuwa na trends nyingi za accessories na bags, vingi vilichukua muda mchache na havikuvaliwa sana lakini kwa kufunga mwaka inaoneaka hii Moon

Shaped Frosted Acrylic Handbag kushika kasi.

Handbag hii ni perfect kwaajili ya mitoko ambayo utataka kubeba simu,makeup kits, pad na vitu vidogo vidogo, pia rangi yake ni nzuri unaweza kuvalia na mavazi ya rangi tofauti tofauti.

Tumeona ikiwa imebebwa na wasanii kama Irene Uwoya, Teni The Entertainer na Hamisa Mobetto.

Tumepitapita mitandaoni na tukakuta inauzwa $27.90 kwenye website ya shein sawa na Tsh 69,354.60/- na kwa Tanzania ipo kwenye boutique mbalimbali ambapo inauzwa kuanzia Tsh 100,000/-

Tuambie a clap or slap?

Related posts