SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Kardashian Took Over Italy For Kourtnrey & Travis’s Wedding
Mitindo

The Kardashian Took Over Italy For Kourtnrey & Travis’s Wedding 

Hii ndio ile hayawi hayawi mbona yamekuwa, haolewi mbona kaolewa. Kourtney Kardashian ni dada mkubwa wa The Kardashian ambae wengi hatukudhani kama sikumoja tutakuja kuona harusi yake but here we are.

Well Kourtney ameshaolewa na mwanamuziki Travis Barker kwasasa wapo Italy kwaajili ya sherehe yao, na hivi ndivyo The Kardashian Crew walivyo fika Italy kwaajili ya sherehe hio.

The theme ilikuwa black, lakini bibi harusi ali-stando out tofauti akiwa amevalia red bodysuit, sheer maxi-length overlay na faux fur akiwa amemalizia muonekano wake na strappy heels na relaxed up do. Bwana harusi yeye alikuwa in all black outfit. Wakati mama wa Bibi harusi looked chic in a black tea-length dress with a sheer overlay, which also featured rose detailing across the chest and a statement collar. Kendall yeye alikuwa in sheer tea-length skirt,chocker na heels.

 Kima alivalia monochromatic look ambayo ni soft black two pieces akiwa amemalizia muonekano wake na panta boots. Khloe went all sexy akiwa amevalia leopard-print gown with a corset bodice, adding simple strappy black heels, oversized sunglasses, a small structured purse. Huku Mama Stormi ( Kylie) kept it rocker-chic akiwa amevalia black dress, black and white boots alizo match na pochi yake.

We can already tell its going to be a long weekend

ORTOFINO, ITALY – MAY 20: Kim Kardashian is seen arriving at Ristorante Puny in Portofino on May 20, 2022 in Portofino, Italy. (Photo by NINO/GC Images

Related posts

1 Comment

  1. 예능 다시보기

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-kardashian-took-over-italy-for-kourtnrey-traviss-wedding/ […]

Comments are closed.