New York Fashion Week ndio kwanza ime anza, na tumesha anza kuona vituko katika week hii ya mitindo. Kanye na yeezy season 4 ilivyo break the internet baada ya models kushindwa kutembelea viatu vyake lakini pia The Kardashian waivuruga New York Fashion Week maana kila kona watu wana concentrate nao wao kuliko mambo yanayo endelea.
Walio enda kum support Kanye ni watatu ambao ndio Top Three katika Familia Ya The Kardashian kwa sasa nao ni Kendall, Kylie Na Kim na sote tunajua wawili kati ya hawa wanavyo penda attention basi ni ku slay, slay, slay tu huko hamna namna.
Kylie na Her Baby Tyga
Kendall Na Kaylie Takes NYFW
Kendall
Kendall na Tyga
Kim Kardashian
Kylie, Kendall Na Kim
Kendall, Kim na Pharell
Kanye na Kim katika uzinduzi wa NYFW introducing Yeezy Season 4
Kim, Kendall na Kylie slaying
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…