SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Lewks From The 3rd Week Of January
Mitindo

The Lewks From The 3rd Week Of January 

Hello Afromates ni week nyingine tena ambayo tumeianza kutoka katika ule mwezi mgumu kabisa wa January,na leo tunakuletea looks zote tulizoziona kutoka katika week ya tatu ya January yaani week iliyopita, tunaweza kusema January isn’t that bad after-all this slayage tumeona kwenye hii week ya tatu we official say 2019 itakua interesting year upande wa mitindo.

Former miss Tanzania Brigitte Alfred brightened our week with this neon look, tumependa jinsi ambavyo hii outfit ipo colorful and fashionable, kama ulikuwa hujui hizi neon colors kwa sasa zipo kwenye trend and Brigitte ametuonyesha how its done in a very chic way.

Neon Colors Are Living Their Best Life On The Streets Right Now

Count it on Hamisa Mobetto to inspire you on your next holiday outfit, she gave us sexiness in two piece outfit, the black biker shorts and crop top, amemalizia muonekano wake na Lv fanny pack na black boots, Hamisa gets it.

Maua Sama is set ready for 2019, hii picha ni kama anatuambia am coming for you this year, well styled, color coordination on point, accessories on point, face serve on a hundred, Maua this is how a star should look all day everyday “Extra”

 

Everybody favorite couple week hii imeonekana kujitutumua kidogo katika mavazi, we love Diamond’s look its been a while toka tumuone in a humanly look, the floral shirt, blue well fitted trouser, the proper and well polished moccasin’s, well arranged and less accessories love it. Kwa upande wa Tanasha she went for a burble gum look, pink everything and her favorite black fur sandals the look is just half half.

Upande wa ambao tumeona wame haribu this week tunae Suzan mtangazaji kutoka Eatv, ambae alivaa hii black velvet dress na boots, Okay hatujui alikuwa anaenda wapi mchana wa jua kali na hii look akiongezea na ankle boots miguuni, angekuwa usiku au hali ya hewa ingekuwa ni baridi angekuwa on point but she misses the weather point and to us its a no, and baby girl those baby hair aren’t flattering at all.

We love Gigy Money’s shoes the rest are just petty.

Well afromates msisite kututag katika looks nzuri na zile mbaya ili tuweze kuwaweka katika list yetu ya kila jumatatu unaweza kututumia kupitia

Instagram – @afroswagga

Facebook – @AfroSwagga

Twitter – @afroswaggatz 

Related posts

3 Comments

 1. My Homepage

  … [Trackback]

  […] There you will find 64024 more Infos: afroswagga.com/mitindo/the-lewks-from-the-3rd-week-of-january/ […]

 2. look what i found

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-lewks-from-the-3rd-week-of-january/ […]

 3. dewahk

  … [Trackback]

  […] There you will find 16390 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-lewks-from-the-3rd-week-of-january/ […]

Comments are closed.