SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Long Sleeve Glove Dress Trend
Mitindo

The Long Sleeve Glove Dress Trend 

Trends haziishi katika ulimwengu wa mitindo na urembo, kila siku kuna jipya ambalo linaonekana kutokea na ku-catch attention ya watu. Well kwa sasa tunaona the long sleeve glove dress ndio ipo kwenye chat.

Mwaka 2013 mwanadada Kim Kardashian alihudhuria katika zulia jekundu la Met Gala akiwa amevalia hii floral long Sleeve Glove Dress kutoka kwa Givenchy na alikuwa moja ya best dressed usiku huu.

Mwaka jana tulimuona the slayer Nanaa Kua Addo katika event ya Ghana Women Of The Year Honours akiwa in full red dress yenye long sleeve gloves, we loved this look kwa sababu ilikuwa tofauti

Trend imekuwa kubwa mwishoni mwa mwaka 2019, ambapo tumeona fast fashion brands mbalimbali wakitengeneza na kuuza dresses za aina hii, lakini pia watu maarufu nao kuonekana kuvutiwa nazo.

Tumewaona watu maarufu kama Lala Anthony, Kylie Jenner Na Gigy Hadid kutoka Tanzania wakiwa kwenye hii trend.

Well afromates feeling on the trend? Je utajaribu hii au lah?

Related posts

4 Comments

  1. sig spear msrp

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-long-sleeve-glove-dress-trend/ […]

  2. weed delivery Toronto

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-long-sleeve-glove-dress-trend/ […]

  3. ดูบอลไทยลีก

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-long-sleeve-glove-dress-trend/ […]

  4. 토렌트

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-long-sleeve-glove-dress-trend/ […]

Comments are closed.