SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Off White Industrial Belt
Mitindo

The Off White Industrial Belt 

Kama kuna kitu tume notice ni kwamba huu mkanda wa off white industrial belt una trend sana kwa sasa, karibu kila star amevaa huu mkanda kuanzia Beyonce, Travis Scott na wengine wengi. Tuli unotice huu mkanda mara ya kwanza pale ambapo fashionista walikuwa wanaanza hii trend ya mikanda mirefu akiwepo Rihanna.

Lakini umeonekana wenyewe ku-stand out na kupendwa na wengi wakiwepo Fashionistas kutoka Tanzania na mabara mengine ya Africa kutoka kwetu Africa tume waona watu kama

Vanessa Mdee, Vee alivaa hii off white belt na bandage turtle neck dress huku akiwa amemalizia muonekano wake na gladiators heels. Unaweza kuona how belt hii imepop muonekano wake kuliko ambapo angeamua kuvaa plain mkanda.

Stylist Rio Paul kutoka Tanzania na yeye ameonekana kuvaa mkanda huu ambapo yeye aliuvaa na linen shirt, trouser nyeusi na brown shoes pia unaweza kuona jinsi gani mkanda huu umeleta attention katika vazi lake na yeye kuonekana more stylish

 

 

 

 

mbunifu Mgece_cici_designs nae alionekana kutokupitwa na trend hii yeye alivaa kama ambavyo fashionista wengi wanavaa na checked (plaid coat) akiwa ame listyle na hio off white belt huku akiwa amemalizia muonekano wake na skin jeans nyeusi.

Lakini pia tumemuona Fashionista kutoka UgandaĀ Bettinah Tianah yeye amevaa hii belt na graphic t-shirt iliyo andikwa Wakanda, ameivaa na mom jeans amemaliza muonekano wake na ankle black boots na colorful bag.

mwingine aliye onekana kuto kupitwa na fashion hii kutoka Africa ni blogger Makuto Style yeye ame ustyle huu mkanda mara mbili

tuambie nani kaustyle vizuri huu mkanda kati ya hao Fashionistas watano?

 

Related posts