SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Return Of Elizabeth Michael, Nandy Album Release And Many More
Mitindo

The Return Of Elizabeth Michael, Nandy Album Release And Many More 

Weekend imeisha we are back maofisini katika biashara lets refresh mambo makubwa yaliyotokea week iliyopita katika upande wa fashion, nani amevaa nini nani amependeza na nani tumeona hapana ameenda kushoto.

 • Elizabeth Michael In Red Outfit 

Muigizaji Elizabeth Michael amemaliza kifungo chake cha nje na katika kurudi kwake Dr. Cheni alipost hii picha ambayo inamuonyesha Elizabeth in full red look ambapo alikuwa na red lipstick, red fascinator, red nails we could help ikabidi tuombe full look ambapo tuliipata akiwa amevaa a short velvet red dress na red pumps, tunaweza kusema kutoka alipotoka mpaka hapa she deserves kuvaa hii rangi ikiwa inamaanisha energy, war, danger, strength, power, determination as well as passion, desire, and love ambavyo ukiviweka vyote unaweza kujua kwanini amechagua rangi hii.

 • Nandy Album Release 

Mwanamuziki Nandy ame-release album yake siku ya birthday yake alivaa looks mbalimbali ila hii patched ball gown ndio ambayo ili catch attention yetu na ndiyo aliyoingia nayo ukumbini, we love the look, color ya dress imetulia, hair hair & make up on point japo rangi ya nguo na ngozi vinaonekana sawa amekuwa faded

MISHONO 3 MIKALI YA KITENGE KUTOKA KWA NANDY

 • Vera Sidika Song Release  

Kama ulikuwa hujui Vera Sidika ameongeza career nyingine katika portfolio yake, ameingia rasmi katika uanamuziki, akiwa ametoa wimbo wake Vera alidebut hii corporate look ambayo kwetu tulipenda sana namna alivyo badilika tumesha mzoea Vera na nguo za kuachia maungo, lakini hii amepull off a whole outfit tena a corporate look na miwani juu babe girl looked like a boss babe as she is.

Style Crush: Vera Sidika & Her Chic Styles

 • Linah Sanga unflattering Dress 

Mwanamuziki Linah Sanga alihudhuria katika Album Release ya Nandy akiwa amevalia hii blue dress ambayo kwetu tumeiona ipo unfiltered, ime’mbana sana, kitambaa kibaya lakini pia mshono haujakaa vizuri hasa kifuani ni kama ali-force kuvaa hii nguo au fundi alitumia vipimo vya mwili wake vya zamani.

 

 

Related posts

4 Comments

 1. Pineapple 1g Disposable Vape

  … [Trackback]

  […] There you will find 25462 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-return-of-elizabeth-michael-nandy-album-release-and-many-more/ […]

 2. magic mushroom store denver​

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-return-of-elizabeth-michael-nandy-album-release-and-many-more/ […]

 3. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-return-of-elizabeth-michael-nandy-album-release-and-many-more/ […]

 4. review

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-return-of-elizabeth-michael-nandy-album-release-and-many-more/ […]

Comments are closed.