SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Rule of Three ( Minimum Of 3 Items On One Outfit )
AfroTipAndTricks

The Rule of Three ( Minimum Of 3 Items On One Outfit ) 

Kwenye kuvaa au ku-style muonekano wako kuna tips mbalimbali mbazo wengi huwa hatuzijui au hatufuatilii. Moja kati ya tips hizo ni hii ya kuvaa si chini ya vitu vitatu katika outfit yako. Yes this tip huwa inatumiwa na watu maarufu wengi na ndio tip ambayo huwafanya mionekano yao iwe tofauti na wengi.

Maana ya The Rule Of Three

Hii ni rahisi maana yake ni kuvaa vitu si chini ya vitatu katika outfit yako, yaani kama unavaa suruali na tshirt basi hakikisha unaongezea kitu cha tatu ilikuweka utofauti au kunogesha muonekano wako.

Kuongezea kitu cha tatu katika muonekano wako kutasaidia kuinua muonekano wako kutoka ulipokuwa kwenda sehemu nyingine effortlessly, Kinogesha muonekano kinaweza kuwa blazer, kimono, pete, mkufu, hereni n.k.

Kama utaamua kuongezea vito basi hakikisha kinaendana na muonekano wako na kama muonekano wako upo simple basi hakikisha unachoongezea kitaweka statement.

Well Afromates tuambie je ulikuwa unajua kuhusu hii rule? Na je utaifuatisha au lah?

Related posts

2 Comments

  1. next page

    … [Trackback]

    […] There you can find 62279 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-rule-of-three-minimum-of-3-items-on-one-outfit/ […]

  2. passive income

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-rule-of-three-minimum-of-3-items-on-one-outfit/ […]

Comments are closed.