SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Smoking Hot Suit Every Man Must Own
Mitindo

The Smoking Hot Suit Every Man Must Own 

Linapokuja swala la men fashion huwa ni marudio, si mara nyingi kuona wabunifu wakija na kitu kipya kwenye mavazi ya kiume, huwa zinabadilika rangi, vifungo etc lakini mitindo ni ileile.

Lakini hivi karibuni tumeona hii trending style ya suit ambayo ime-catch attention yetu, this suit is sassy & classy tumewaona hawa gentlemen watatu wakiwa wameivaa and we had to share na ninyi mnaweza kupenda style na kuiiga

Ni suit nyeupe ambayo suruali yake inakuwa stripes za rangi tofauti pembeni, ukimuangalia hapo mwanamitindo kutoka Zimbabwe Tino Chinyani  yeye suruali yake ina stripes za mustard yellow na nyeusi, tumependa alivyo style na kiremba kichwani, huku akimalizia na raba na funny pack mkononi to make it look less official.

Mwingine tuliyemuona na suit ya aina hii ni muizagi Gabo Zigamba, yeye aliivaa akiwa amehudhuria sherehe ya birthday ya mama Diamond, yeye ya kwake ilikuwa na stripe ya mustard yellow aliivaa na t-shirt nyeupe huku akimalizia outfit yake kwa kuvalia raba nyeupe na accessories kama miwani,saa na blacelet za gold.

Wakati mwingine tuliyemuona ni Big Brother Nigeria participant, Tobi Bakre yeye aliivaa katika Moet Grand Day, yakwake ikiwa na stripes za gold akiwa amemalizia muonekano wake na raba nyeupe, miwani na bracelet.

Tuambie umeipenda aina hii ya suit?

Related posts

3 Comments

 1. https://bonanza178.site/

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-smoking-hot-suit-every-man-must-have/ […]

 2. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-smoking-hot-suit-every-man-must-have/ […]

 3. magic mushroom chocolate bar usa​

  … [Trackback]

  […] There you can find 21852 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-smoking-hot-suit-every-man-must-have/ […]

Comments are closed.