SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Tiny Bag By Jacquemus Vs Double Chanel Bag
Mitindo

The Tiny Bag By Jacquemus Vs Double Chanel Bag 

Wanasema linapokuja swala la fashion expect anything, wabunifu kila siku wanakuja na jambo jipya, mwaka jana tuliona viatu na denim wamekuwa wakileta designs mbalimbali, mwaka huu tunaona ni zamu ya handbags, hadi sasa tumeona invention mbili ambazo zimetufanya tuwe surprised kidogo na kuwaza hawa wabunifu wamefikiria nini kubuni hizi bags,

Mbunifu  Jacquemus  amekuja na hizi Tiny bags ambazo amezipa jina “Le Chiquito”, ni handbag ndogo ambazo zinaweza kubebea pesa tena si kiasi kikubwa, labda na big g au lip balm, bags hizi zinakuja kwa rangi ya white, pink, yellow, light blue na pale green.

Tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wanazitumia it made us wonder wamebeba nini, tumemuona Beyonce, Rihanna, Kendall Jenner na wengine wengi wakiwa wamebeba bags hizi ambazo zinauzwa kati ya $345 – $795, zaidi ya laki 8 za Ki-Tanzania

Kwa upande mwingine brand kubwa ya fashion Chanel wao wamekuja na hizi double Chanel Bags, yaani bags mbili za Chanel zinavaliwa kwa wakati mmoja, one of the invention ambazo to us tunadhani Chanel is too classy for this, tunasema hivyo kwa sababu we see no creativity here kwa maana anybody can do this unaweza beba bags zako mbili Chanel or not ukatafuta kitu cha kuunganishia mikanda katikati umemaliza, kitu ambacho labda tunaweza kusema wameanzisha ni kubeba pochi mbili, which who would do that? kama unauwezo wa kubeba moja na vitu vyako vikafit? anyways that’s our opinion ila tumemuona mwanamuziki Cardi B akiwa amevalia hii bag

Well Afromates which one would you prefer? The Tiny Bag or Double Bag?

Related posts

4 Comments

  1. 대구웨딩홀

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-tiny-bag-by-jacquemus-vs-double-chanel-bag/ […]

  2. visit this page

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-tiny-bag-by-jacquemus-vs-double-chanel-bag/ […]

  3. buy hydrocodone online

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-tiny-bag-by-jacquemus-vs-double-chanel-bag/ […]

  4. japanese food in boston

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-tiny-bag-by-jacquemus-vs-double-chanel-bag/ […]

Comments are closed.