SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The Ugly Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa
Mitindo

The Ugly Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa 

Upande ambao Fashion inaelekea ni very strange, jinsi ambavyo kitu kinakuwa kibaya ndivyo kinavyo bebwa kwamba ni stylish. The ugly sneakers ni kama “the dad jeans” au “mom jeans” zile jeans za zamani wamama na wa baba walikuwa wanavaa,sasa hivi vimekuja viatu vya wababa hizi ni kama zile version za kwanza za sneakers zilikua na sole kubwa wanaume wengi walikuwa wanazivaa na ma jeans makubwa kipindi hiko na sasa zimerudi kwenye trend.

Watu maarufu mbalimbali kama kina Kim Kardashian, Jaden Smith na wengineo wameonekana wakiwa kwenye viatu hivi, lakini wabunifu pia hawakua nyuma katika kuvibuni tumeona wabunifu kama Balenciaga, The Louis Vuitton,CÉLINE wakiwa wame include viatu hivi katika collection zao.

Bella Hadid akiwa amevalia The Ugly Sneakers na Plaid Coat

 

Kendall Jenner nae ameonekana katika mitaa akiwa amevalia plaid coat ( this is a trend), dad jeans na ugly sneakers well it doesn’t look bad after all

Jaden Smith anazipenda sana hizi sneakers ameonekana mara nyingi akiwa amezivaa

Kim Kardashian yeye pia ni favorite shoes zake kwa sasa na zipo pia katika Yeezy Season 7 ameonekana mara nyingi amazivaa akiwa Tokyo lakini pia ana advertise collection hii mpya ya mumewe Kanye West

tuambie kwako unaonaje yay au nay?

Related posts