SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

The World Has Become A Jungle Everyone Is In Animal Prints
Mitindo

The World Has Become A Jungle Everyone Is In Animal Prints 

Animal print zinakuwaga kwenye trend kila mwaka, mara nyingi ni kipindi cha autumn,Imekuwa style maaruf kwa miaka mingi sasa, ukivaa animal print unaonekana mtu wa hali ya juu (expensive) na ni alama ya wealth & status, katika historia wafalme ndiowalikuwa wakitumia sana animali print katika kuvaa lakini pia kwenye mapambo, miaka ya 1960 animal print ikawa maarufu kwa wanawake pia.

Zamani ilikuwa inatumia animal print ya ukweli kwa kuua wanyama lakini kwa sasa zinakuwa printed tu kwenye canvas na kitambaa kinatokea ( asante teknolojia),  well mwaka huu trend hii imerudi in classic and bold way, kuanzia prints za Snake,zebra, dots, white, black, brown, blue… you name it kila aina ya print na kila aina ya rangi, watu maarufu wengi wameonekana kuvaa trend hii kutoka kwa fashionita’s, wanamuziki, waigizaji, etc.

Tumewaona Rappers ambao wameshika game kwa sasa nao ni Nicki Minaj na Cardi B wakiwa wamevalia trend hii, wao wakiwa wameattend kwenye fashion show’s hapa wamekuwa extra kidogo we all know kwenye red carpet au fashion shows you have to make statement.

Nicki Minaj yeye ali-attend katika Harper’s Bazaar ICONS party, Inside, katika  New York Fashion Week akiwa amevalia gauni hili la animal print kutoka kwa ALEXANDRE VAUTHIER, akiwa amemaliza na pumps za animal print pia she looked like a tiger.

Wakati Cardi b yeye alihudhuria katika show ya Dolce & Gabbana in full animal print outfit, ambapo alivaa trench coat na thigh high boots za animal print akamalizia muonekano wake na scarf aliyoifunga shingoni ya animal print na Dolce & Gabbana glasses za animal print, you wouldn’t wanna meet her kichakani definitely ungekimbia na kujua ni chui.

Lakini pia tumemuona mwanamama Beyonce katika tour yake ya Otr2 akiwa amevalia full animal print outfit

Well Juu tumeona namna ambavyo unaweza kustyle animal print kwenye event kubwa lakini you can dress them down kwa event ndogo ndogo kama dinner dates, movie dates etc na hawa ndio fashionista’s waliotuonyesha namna ambavyo unaweza kuvaa print hii kwenye events za kawaida.

Stella Uzo kutoka Nigeria yeye alipost akiwa amevalia animal print skirt,graphic tee nyeupe huku akiwa amemalizia na strap sandals nyeusi na handbag ya blue very comfortable unaweza vaa kazini kama ni casual day, kama sio unaweza kuongezea shirt ya mikono mirefu ya rangi moja.

Fashionista Chic Ama yeye ametuonyesha namna ambavyo unaweza kuvaa trend hii in a sexy way kama short pant, yeye alivaa na ruffle red top, akamalizia muonekano wake na black pumps, Gucci big belt na small handbag yenye animal print hukua akiwa na glasses usoni na animal print scarf shingoni. unaweza kuvaa hii outfit katika mitoko ya usiku.

ms_ris_eddy kutoka Tanzania yeye tulimuona kwenye trend hii akiwa amevalia wide leg animal print trouser, ambapojuu alivalia na mustard yellow crop top, akamalizia na nude shoes, statement earrings, shawl na miwani .

Kama hupendi kuvaa full au kufanya hii animal print tend kuwa statement unaweza kuivaa kama accessories, miwani, scarf, viatu, handbag etc.

Related posts

8 Comments

  1. go to my blog

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

  2. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] There you can find 22330 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

  3. Buy Crystal Meth Online For Sale Perth

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

  4. 티비위키

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

  5. buy dmt vape pen

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

  6. muha carts

    … [Trackback]

    […] There you can find 4453 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

  7. https://www.kirklandreporter.com/reviews/phenq-reviews-fake-or-legit-what-do-customers-say-important-warning-before-buy/

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

  8. sexy ligandrol muscle fucking

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/the-world-has-become-a-jungle-everyone-is-in-animal-prints/ […]

Comments are closed.