SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THERESA SHAYO MISS TANZANIA WA KWANZA (1967)
Mitindo

THERESA SHAYO MISS TANZANIA WA KWANZA (1967) 

Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na mwaka 1967 ndipo tulipata mrembo wetu wa kwanza bi. Theresa Shayo mashindano haya yalifanyika kat Kilimanjaro hoteli ambayo kwa sasa ina julikana kama Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam.

missy45

 

Bi Theresa Shayo Akipita Jukwaani

Lakini kwa bahati mbaya haya mashindano yalipigwa marufuku mwaka huo huo na kuanzishwa tena katika Awamu ya Rais Wa Pili 1985-1995 Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya utandawazi kushika kasi

missy1

Bi Theresa Shayo Amevalia Namba 5
Mshindi huyo wa kwanza kushiriki mashindano hayo ya urembo ya Miss Tanzania Theresa Shayo, alifariki dunia huko Augburg Munich Ujerumani kwa maradhi ya kansa ya tumbo huku akiwa na umri wa miaka 61 na kuzikwa uko uko alikokuwa akiishi miaka yote hiyo.

ea29c1dd0dea21cfa4fafdf6516c8565

kutoka kushoto kwenda kulia , Miss Tanzania (Teresa Shayo), Miss Uganda (Rosemary Salmon), Miss Nigeria (Rosalind Balogun) na Miss Ghana (Araba Vroon)
Theresa hakubahatika kupata mtoto na alikuwa akiishi mjini Augsburg ambako aliolewa na mjerumani aitwaye Chrstian Rieger ambaye waliachana na hadi anakufa alikuwa akiishi na boyfriend aitwaye Tonny.

Related posts

5 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/theresa-shayo-miss-tanzania-wa-kwanza-1967/ […]

 2. pg slot

  … [Trackback]

  […] There you will find 43453 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/theresa-shayo-miss-tanzania-wa-kwanza-1967/ […]

 3. find out here

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/theresa-shayo-miss-tanzania-wa-kwanza-1967/ […]

 4. where can i Buy Lovegra Online

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/theresa-shayo-miss-tanzania-wa-kwanza-1967/ […]

 5. Look At This

  … [Trackback]

  […] Here you can find 31218 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/theresa-shayo-miss-tanzania-wa-kwanza-1967/ […]

Leave a Reply