Met Gala formally inaitwa Costume Institute Gala pia kwa jina lingine ina itwa Met Ball, hii sherehe au hafla hufanyika kuchangia faida ya Metropolitan Museum of Art’s Costume Institute in New York City, mwaka huu theme ilikuwa Heavenly Bodies: Fashion and the Catholic Imagination ambapo tumesha kuwekea wale walio endana na theme, japo hawa walikuwa nje ya theme ila hizi dress zao ni moto kabisa tumezipenda
Gabrielle Union akiwa amevaa hii gauni ya njano kutoka kwa mbunifu Prada, they didn’t lie when they said yellow were meant for black girls, tumependa rangi jinsi ilivyo mfanya a-pop, gauni imeendana na mwili wake if only she was on another red carpet she would have been on our best dressed list.
Natasha Poly rocking a balmain dress, inahitaji kuongea kweli? she is serving us looks and all, but again not for met gala red carpet.
Irina Shayk in Versace dress, tumependa gauni ipo tofauti na imeendana na mwili wake, makeup on point.
Kerry Washington long-sleeved Ralph Lauren gown Just perfect.
Kiersey Clemons In H&M
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 66180 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/they-might-be-off-theme-but-these-met-gala-dresses-are-fire/ […]