SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

This Week Work Outfit Ideas
Mitindo

This Week Work Outfit Ideas 

Weekend imefikia tamati na ni wakati wa kurudi maofisini sasa, tunaacha casual outfit’s na kuvaa corporate zaidi zile ambazo zinafaa kiofisini zaidi,leo tumekuletea ideas ni vipi unaweza kujipangilia week hii

Coloful statement top na pencil skirt – unaweza kuwa na top yako colorful unaivaaga nyakati tofauti lakini unawaza ni namna gani unaweza kuvaa ofisini, kwa sababu ya rangi na muundo unashindwa kuivaa well unacho takiwa kufanya sababu yenyewe ina shout basi vilivyo baki tumia neutral colors, tafuta skirt au suruali yenye rangi moja inayoendana na iliyopo kwenye top na ubebe handbag na viatu vyenye rangi nyingine zinazoendana.

Statement Top & Trouser – sasa hivi kuna hizi top zimeingia ambazo zenyewe tu zina make statement unaweza kuivaa kazini na suruali au skirt jaribu ku coordinate rangi vizuri katika mavazi yako na top ndio iwe statement vingine vyote viwe kawaida ili kuifanya outfit isionekane too much.

Pencil dress & blazer – is always good to go outfit hasa kama hujui uvae nini, sisi tumechagua neutral colors, white black na cream japo wewe unaweza kuchagua rangi upendazo kutokana na vitu ulivyokuwa navyo tayari.

 

Kwa ideas nyingine za mitoko ya kazini bonyeza hapa

Related posts

4 Comments

 1. buy cookies and cream mushroom chocolate bars.

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/this-week-work-outfit-ideas15744/ […]

 2. ufabet24h

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/this-week-work-outfit-ideas15744/ […]

 3. stapelstein

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/this-week-work-outfit-ideas15744/ […]

 4. tv hen tai gucken

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/this-week-work-outfit-ideas15744/ […]

Comments are closed.