SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THROW BACK THURSDAY NA SARAH PARKER
Mitindo

THROW BACK THURSDAY NA SARAH PARKER 

Wachache ambao wana penda series na movies watatuelewa, so tulikua hapa tukijaribu kuwaza na kuwazua nini cha kuvaa swahili fashion week,… wanapo sema sikiliza maneno na si vitendo hivi ndivyo wanavyo maanishaga, tuna weza tuka wapa ushauri mtafute nguo mapema kabla ya siku ya event ila sisi wenyewe ni wachelewaji wa kubwa wa kujua tuna vaa nini. Enough with the blah blah’s hiyo ni matangazo kabla ya habari anyways wakati tuna endelea ku figure out nini cha kuvaa moja kwa moja ikatujia taswila ya Sarah Parker au  Carrie Bradshaw kama livyo cheza katika sinema hio

tume penda kila kitu kuhusu huu mtoko, miwani, viatu, the white dress hatuna uhakika na cheni lakini its Carrie being Carrie

4fe84120-0218-0132-0755-0eae5eefacd9

tunaikumbuka hii scene like yesterday, hii nguo Aidan mchumba wa Carrie alimwambia aitupe lakini haikuitupa na wakati wame achana akaiona kwenye kabati akaitinga “girl power”
5acba600-021d-0132-0757-0eae5eefacd9

pale Carrie alipo amua kurudi utoto7d802b40-021a-0132-6fec-0add9426c766

 

Hatujui hata kavaa cheni ngapi na nini kili mu inspire ila amependeza8a73a110-021d-0132-0758-0eae5eefacd9

 

Carrie be sexing… kama isinge kuwa kitambi basi swahili wange tutambua na hizo crop tops 8b54b580-021e-0132-6fe6-0add9426c766

 

well Carrie alikua na zile siku ambazo hujisikii ku dress up kabisa lakini una miahadi- swahili we are coming 44e9c8a0-021e-0132-6fe8-0add9426c766

the polka dot game 62d30ea0-0217-0132-6fea-0add9426c766

 

huu muonekano hatuja wahi kuuelewa like Carrie kafunga tumbo na mkanda na si skirt? kwanini? but hey Its Carrie 343b3f60-021f-0132-6feb-0add9426c766

skater 685d8320-021e-0132-0755-0eae5eefacd9

741f5800-021f-0132-6fe6-0add9426c766

 

nguo ngapi ame vaa na ame pull out vipi hii outfit?
10808e90-0218-0132-6fe6-0add9426c766

The slip high game is strong na hivi ni trend kwa sasa we might go with this 30308750-0220-0132-0752-0eae5eefacd9

bandage always a good choice kama hutaki too much drama a45a6460-0222-0132-0757-0eae5eefacd9

Related posts